Mbosso – Yalah (Mp3, Lyrics, Video)

Download Yalah Mp3 by Mbosso

Download Mp3

My Money

Video: Yalah by Mbosso

Yalah Lyrics by Mbosso

Nimesadiki ya wahenga
Penzi lina raha yake
Mzigo kwa tenga
Kimfaacho mtu chake
Mndenge nimekatwa ngenga
Aahh umatemate
Najinyenga nyenga
Maomao mao tate
Huwaga sionii
Ninavyoipanda milima
Ulimi sikioni
Mwili wote wanzizima
Mwenzenu sioni
Macho mawili yote sina
Tunaanza jikoni
Mpaka varandani twalindima

[Chorus]
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Penzi limenzidi yala yalaa yalaaa
Ni kubwa yalaa yalaaa
Zito yala yalaaa yaala

[Verse 2]
Tungezaliwa zamani
Ningesema penzi togwa
Tulinywe kibarazani
Tukitafuna maboga
Nimekipanda uwani
Kibustani cha uyoga
Tukishiba biriani
Baby tule mboga mboga
Sasa polisi wa nini
Nikikosa nikamate wewe
Mahakama ya nini
Nikikosa nihukumu wewe
Penzi chupa la balimi
Tuligide baby hadi tulewe
Vindege shorwe vya nini
Kifaranga unibebe we mwewe
Huwaga sionii
Ninavyoipanda milima
Ulimi sikioni
Mwili wote wanzizima
Mwenzenu sioni
Macho mawili yote sina
Tunaanza jikoni
Mpaka varandani twarindima

  Mbosso - Mtaalam (Mp3 Download, Lyrics)

[Chorus]
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Yalaa yalaaa yalaa yalaaa
Penzi limenzidi yala yalaa yalaaa
Ni kubwa yalaa yalaaa
Zito yala yalaaa yaala

Leave a Comment