Mbosso – Baikoko Ft Diamond Platnumz (Mp3 Download, Lyrics)

Download Baikoko Mp3 by Mbosso Ft Diamond Platnumz

Download Mp3

My Money

Video: Baikoko by Mbosso Ft Diamond Platnumz

Baikoko Lyrics by Mbosso Ft Diamond Platnumz

(AyoLizer)

Eeeh, kako fine
Kila nikitaka kwenye line, bila bila
Shuwine, kwake nimelewa kama wine tilalila
Ye sisimizi nami gegedu tunagegeduana (gege)
Na nilivyo sina jinsi
Tajiri wa mbegu namuonga na mwana

Baba mndenge mama Mzaramo
Uno lake la kurithi (aaah eeeh)
Kafunga tenge mwali chakaramu
Shetani mwana hibilisi
Jipu (jipu) Uchungu (uchungu)
Mwana nyuma umejaza kishundundu
Kwenye zip (zipu)
Kuna kirungu (kirungu)
Usikamate utawaita wazungu eeehe

Babu mkuna nazi (mkuna nazi)
Kachutama kishinani na msuli wake ukowazi (ukowazi)
Mambo yote hadharani

Ughughughughu, mtoto anadaka golikipa
Wabeja tena akikata naiingiza
Baby acha unaichezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyoinyonga (baikoko)
We waonyeshe (baikoko)
Baby acha unaichezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyoinyonga (baikoko)
We waonyeshe (baikoko)

  Mbosso - Fall (Mp3 Download, Lyrics)

Asa komesha dengua, dengua
Baby Dengua, dengua
Ringa dengua, dengua
Deka dengua, dengua lokole

Kanifunda la minguu
Anataka nipite peku (peku peku)
Kunduchu juu anifikishe kwetu (kwetu kwetu)
Ye ndo tamu ladha ya kitumbua
Rojo ya embe kibada (kibada)
Hodari kunengua miuno ya ushubwada (shubwada)
Nyuma kalisasambua kafungasha migavwada (vwada)
Anavyotafuna muwa ka kibogoyo dada

Katoto kamelainika mwana (mwana)
Kukapa ndizi banana (nana)
Nakapeleka kwa mama (mama, mama)
Dangote, kama kuku twakimbizana (zana)
Kanaibuka kanazama (zama)
Kamwili kana banana laana lana lana ka zote

Ebo, mtoto anadaka golikipa
Wabeja tena akikata naiingiza
Baby acha unachezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyoinyonga (baikoko)
We waonyeshe (baikoko)
Baby acha unachezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyoinyonga (baikoko)
We waonyeshe (baikoko)

Asa komesha dengua, dengua
Baby Dengua, dengua
Ringa dengua, dengua
Deka dengua, dengua lokole

Hamu anaifuata (anainama, anainuka mwali anaisusa)
Kwa kujishebedua (anainama, anainuka mwali anaisusa)
Kama hataki mwali (anainama, anainuka mwali anaisusa)
Kwa madoidoi (anainama, anainuka mwali anaisusa)
Brrr okey

  Mbosso - Picha Yake (Mp3 Download, Lyrics)

(Kamix Lizer)
(Wasafi)

Leave a Comment