Rayvanny – Wanaweweseka (Mp3 Download, Lyrics)

Download Wanaweweseka Mp3 by Rayvanny

Download Mp3

My Money

Video: Wanaweweseka by Rayvanny

Wanaweweseka Lyrics by Rayvanny

Wenye wivu wasijinyonge
Ila wapigwe shoti wafe
King’asti wangu yupo hapa hapa
Usinishike bega niache
Nakupa yote mung’unya utamu wa pipi mate
Babe kwa mapenzi uko chuo
Hauko tena kindergarten
Marashi ya pemba
Amechanganya na tanga
Mtoto kama saida karoli
Anavyochambua karanga…
Na simuachi nampenda ye pete mi chanda…
L.O.V.E. (I love you) kama kassim mganga…

Presha inapanda, presha inashuka
Wanaovimba watapasuka
Nikikupost namba insta patachafuka
Watatamani kuhack waje kufuta hao…
Leleleeeeee

Wanaweweseka hao! (wanakopa bando watuperuzi)
Wanaweweseka hao!
Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwauzi)
Wanaweweseka hao!
Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi)
Wanaweweseka hao!

Ndege, tausi, maringo na tegeeee
Umbo kifusi, nyuma kishindo…
Nikubebeeeee, wenye chuki wakate shingo…
Sitaki rede mi nabunduki na weka lindo…
Udongo gani? ulo kufinyanga mwali wewe
Mganga gani, alopiga manyanga mwali weee…
Majungu si mtaji (ayayayaaa)
Maneno sio radi (ayayayaaa)
Jasho linawatoka maji (I love you daddy)
Marashi ya pemba, amechanganya na tanga
Mtoto kama saida karoli, anavyochambua karanga…
Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda…
L.O.V.E. (I love you) kama kassim mganga…

  Macvoice - Tamu Ft. Rayvanny (Mp3 Download, Lyrics)

Presha inapanda, presha inashuka
Wanaovimba watapasuka
Nikikupost namba insta patachafuka
Watatamani kuhack waje kufuta hao…
Leleleeeeee

Wanawewesena hao! (wanakopa bando watuperuzi)
Wanaweweseka hao!
Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo,tuwauzi)
Wanaweweseka hao!
Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi)
Wanaweweseka hao!

Leave a Comment