Mbosso – Nadekezwa (Mp3 Download, Lyrics)

Download Nadekezwa  Mp3 by Mbosso

Download Mp3

My Money

Video: Nadekezwa by Mbosso

Nadekezwa Lyrics by Mbosso

hohohoo hohoo hoho
hohohoo hohoo hoho

salamu ulizo nitumia ah
zimenifikia ah
nipo salama hata usijali
nalishwa vitamu
vinono najilia ah
biliyani yangamia
penzi twadalikana poo kidali

nimekusahau
nak+mbuka tu lako jina
kidogo angalu
umengoa mizizi sio kukatashina
penzi wakapanda dau ah
mjini baba pesa fitina
mimi ukanidharau
visenti haba mf+ko umechina

nando uwezo w+ngu ulipo ishia
ningekupa nini tena
kula yangu yakupapasia
(huk+mweza ukaatema)

mimi sina gali
ningekupa nini tena (ooohoohoo)
(huk+mweza ukaatema)
eeeheeehee

nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadeke…

ndanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh
hadi na come come k+minambili arufajiri

na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
kanijaza kanichota kanishika pabayaa

nakutadharisha simu zausiku punguza
unahatarisha penzi langu moto kuunguza

nishakusahau nak+mbuka tuu lako jina
kidogo angaluu
umengoa mizizi sio kukatashina
penzi wakapanda dau anh
mjini baba pesa fitina
mimi ukanidharau
visenti haba mf+ko umechina

  Mbosso - Tamba (Mp3 Download, Lyrics)

nando uwezo w+ngu ulipo ishia
ningekupa nini tena
kula yangu yakupapasia {huk+mweza ukaatema}

mimi sina gali
ningekupa nini tena (ooohoohoo)
{huk+mweza ukaatema}eeeheeehee

nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadeke…

nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadeke…

Leave a Comment